Profile
Name
Dakota mtu hatari
Description
Welcome to the incredible musical journey that Dakota has embarked on. Born on June 26, 1999, He burst onto the music scene in early 2019 and illuminated the world of Singeli with his brilliance in 2023 through a groundbreaking collaboration with the renowned artist “Mbosso” under the WCB record label, resulting in the hit track, "Mungu Atusamehe." Dakota possesses a unique talent for infusing his lyrics with poignant and authentic stories drawn from the streets, especially the vibrant “Uswahilini” lifestyle and scenarios embraced by young adults. He's a genuine storyteller, consistently delving into themes that deeply resonate with the youth in the slums, the ghettos, and with young adults hustling to make their lives better.
Subscribers
14.8K
Subscriptions
Friends
Channel Comments
![]() |
Davidmatunda-p8x
(4 minutes ago)
Acheni masiara huyu mwana anajua wanangu...respect brow dakota
|
![]() |
LaulianLucas-yc6og
(10 minutes ago)
Et sauti y kwenye shoo live ndo inabamba zaidi ya official music
|
![]() |
AishaTyler-q6d
(18 minutes ago)
Ila hii ngoma n kiboko yao imeingia mpaka kwa damu
|
![]() |
SolomonHenry-y7h
(27 minutes ago)
Tuwekee mzigo huu Audio Maki
|
![]() |
dach_kid
(31 minutes ago)
Oyaaaaaaaaa weeeeeeeeehNomaaaaaa hiii kakaaaaaaa
|
![]() |
milalaemmanuel445
(47 minutes ago)
Live ndo Kali kuliko uliyorekodi
|
![]() |
Alex_actor
(51 minutes ago)
Ukiwa na msela wako anazingua ndo utajua utamu wa hii ngoma @dakota
|
![]() |
MaikoKilowoko-h9t
(2 hour ago)
Oy ili goma nyoko
|
![]() |
Ajaystarseven
(2 hour ago)
Yani hii ya kwenye stage ndio ilo trending kuliko hata original yenyewe
|
![]() |
GeorgeEvarist-z9g
(3 hours ago)
Kuna mwanangu hii ngoma inamgusa kabisa alizingua sana kunipondea kwa shemej yake mchizi sio mwana
|
![]() |
cyprianmahundi7667
(8 hours ago)
Hii imeendaaa
|
![]() |
McTaylor-t5j
(2 hours ago)
Kali mkuu
|
![]() |
makanchimbi7157
(18 hours ago)
Ngoma Kali sana hii.
|
![]() |
AshaMbaraka-pv3zf
(9 hours ago)
Zigo la kwendaaa
|
![]() |
AyuniRashid-b6n
(19 hours ago)
hatariii nakubali babaa
|
![]() |
marystanley-f3i
(2 hours ago)
Ingewezekana huyu mwamba apate sapot yakutosha anajua hadi anakera
|
![]() |
MathiasMnupe
(12 hours ago)
Hiii ngoma kali sana na ni singeli ya mwaka
|
![]() |
ramcymosungu4700
(13 hours ago)
Oouyaaaah oooyaaaah aaaoiiiiiiii aaaaaaaiiiii weeeeee eeeh mbn Kam unatuweza wewe
|
![]() |
AshaMbaraka-pv3zf
(8 hours ago)
Apige remix na wale walioimba wivu kina baddest
|
![]() |
lwengephillip7516
(8 hours ago)
Kazi nzuri sana ukiendelea utakuwa mzuri sana kwenye Rap kuliko maelezo
|
Add comment